Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (a.s) - ABNA - Idadi kubwa ya Mashia, wamehudhuria katika hafla za maombolezo ya Arbaeen ya Imam Hussein (a.s) zilizofanyika katika Barabara ya Karbala katika Mji wa Lucknow, nchini India.
28 Agosti 2024 - 16:54
Msimbo wa Habari: 1481359